wrapper

Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dar es salaam anatangaza mafunzo ya muda mfupi ya “Namna bora ya kujiandaa na maisha kabla na baada ya kustaafu”. Mafunzo haya yanalenga kuwapa washiriki maarifa, mbinu na uzoefu wa jinsi ya kujiandaa vema na maisha baada ya kustaafu.

Mafunzo haya yatatolewa kwa awamu mbili;

  • Awamu ya kwanza yatafanyika tarehe 18/6/2018 hadi 22/6/2018
  • Awamu ya pili yatafanyika tarehe 15/10/2018 hadi 19/10/2018

 

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

About ISW

  • Graduation Ceremony
  • Conferences
  • Institute's Almanac
  •   Gallery